Blogspot - daresalaam-yetu.blogspot.com - Dar es salaam Yetu
General Information:
Latest News:
MSAJILI MPYA WA VYAMA VYA SIASA AAPISHWA JANA NA RAIS DR. JAKAYA KIKWETE , IKULU 27 Aug 2013 | 07:38 am
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimwapisha Msajili wa Vyama vya Siasa mpya Jaji Francis Mutungi Ikulu jijini Dar es salaam . Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimmshuhudia Msajili wa Vyama vya Siasa mpy...
RAIS JAKAYA KIKWEE ASALIMIANA NA MZEE JAMES MAPALALA IKULU DAR ES SALAAM LEO 26 Aug 2013 | 09:21 pm
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mzee James Mapalala baada ya kumuapisha Msajili wa Vyama vya Siasa mpya Jaji Francis Mutungi (kushoto) Ikulu jijini Dar es salaam jioni hii PICHA NA ISSA MIC...
RAIS KIKWETE AMWAPISHA MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA MPYA JAJI FRANCIS MUTUNGI IKULU DAR ES SALAAM LEO 26 Aug 2013 | 09:08 pm
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimwapisha Msajili wa Vyama vya Siasa mpya Jaji Francis Mutungi Ikulu jijini Dar es salaam leo.Picha na Ikulu
Wakuu wa majeshi wazua utata:washauri Rais asiwateue 18 Aug 2013 | 11:35 am
Akiwasilisha maoni ya kundi la tatu, Juma Mangora alisema Mkuu wa Majeshi asiteuliwe na Rais, bali jukumu hilo lifanywe na Baraza la Taifa la Ulinzi. Mapendekezo ya Tume ya Mabadiliko ya Katiba Mpya,...
RAIS KIKWETE NA MAMA SALMA KIKWETE WAOMBOLEZA KIFO CHA KATIBU MKUU IKULU MSTAAFU ABEL MWAISUMO , JANA 17 Aug 2013 | 08:34 pm
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini katika kitabu cha maombolezo alipokwenda kuomboleza na kufariji wafiwa kwa msiba wa Katibu Mkuu wa Ikulu mstaafu Marehemu Abel Mwaisumo aliyefariki majuzi huk...
MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA UJUMBE WA TAASISI UHIFADHI NA ULINZI WA IKOLOJIA KUTOKA CHINA NA KUPOKEA TUZO YA UTUNZAJI WA MAZINGIRA, IKULU DAR ES SALAAM ... 17 Aug 2013 | 08:17 pm
Juu na chini ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Ujumbe wa Taasisi na Ulinzi wa Ikolojia kutoka nchini China, wakati ujumbe huo ulipofika O...
DORICE MOLLEL ASHINDA REDD’S MISS ILALA 2013 17 Aug 2013 | 07:58 pm
Redds Miss Ilala Dorice Mollel (katikati) akipozi na washindi wenzake. Kutoka kulia ni mshindi wa pili Alice Isaac na mshindi wa tatu Clara Bayo. ************* Mwandishi Wetu Miss Tabata Dorice.....
WAISLAMU MSIKITI WA MTAMBANI WAMSHIKILIA ASKARI POLISI KWA MUDA! 17 Aug 2013 | 07:49 pm
Baadhi ya waumini wa Kiislamu Msikiti wa Mtambani wakiwa wamemzunguka askari Polisi, Jonathan Tossi (katikati aliyeshika kamera) wakimuhoji baada ya kumshikilia kwa muda, hata hivyo walimuachia kwa ma...
MMOJA ASEMEKANA KUGAWA PESA BURE JIJINI DAR ES SALAAM. 17 Aug 2013 | 11:15 am
Bajaji wakiwa kwenye foleni kuwekewa mafuta na mtu ambaye hakutaka kujitambulisha ******************* Mwanamme mmoja, ambaye amekuwa akiongozana na maaskari polisi wawili, amekuwa akigawa fedha za b...
HOT NEWS: Mwakyembe afumua mtandao wa ‘unga’ 17 Aug 2013 | 11:06 am
Waziri wa Uchukuzi, Dk Harrison Mwakyembe akizungumza na waandishi wa habari jana kuhusu usafirishaji wa madawa ya kulevya unavyofanyika katika uwanja wa ndege wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam ...