Blogspot - francisgodwin.blogspot.com - Mzee wa matukio daima
General Information:
Latest News:
MATUKIO ZA MKUTANO WA AMANI IRINGA KATIKA UKUMBI WA SIASA NI KILIMO. 27 Aug 2013 | 12:25 pm
Amiri na Mbashiri Mkuu wa Jumuiya ya Waislamu Ahmmadiyya Tanzania Ndg,Tahir Mahmood Choudhry akimkaribisha mkutanoni Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mh. Cristina Ishengoma. Mkuu wa Mkoa Iringa Mh. Cris....
KAIMU MKURUGENZI KILOLO ANUSURIKA AJALI BAADA YA GARI LAKE KUGONGWA 27 Aug 2013 | 12:14 pm
gari la kaimu mkurugenzi wa Halmashauri ya Kilolo ambalo leo limegongwa ubavuni eneo la Miyomboni mjini Iringa Hili ndilo gari lililosababisha ajali hiyo kaimu mkurugenzi wa Halmashauri.....
WATALII WA NDANI WAZIDI KUONGEZEKA HIFADHI YA MIKUMI 26 Aug 2013 | 10:58 pm
Hawa ni watalii wa ndani ambao leo wametembelea hifadhi ya Taifa ya Mikumi,kasi ya watalii wa ndani ya nje kutembelea hifadhi za Tanzania imezidi kuongezeka Hapa ni hifadhi ya Mikumi leo kari....
RAIS KIKWETE AMWAPISHA MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA MPYA JAJI FRANCIS MUTUNGI IKULU DAR ES SALAAM 26 Aug 2013 | 10:19 pm
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimwapisha Msajili wa Vyama vya Siasa mpya Jaji Francis Mutungi Ikulu jijini Dar es salaam leo. Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimmshuhudia Msajili wa Vyama vya Siasa mpya Ja...
CCM KWAWAKA MOTO MMOJA ATIMULIWA UANACHAMA 26 Aug 2013 | 10:05 pm
Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE MicrosoftInternetExplorer4 Nape Moses Nnauye, TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (C...
TAARIFA KAMILI YA KUUNGUA KWA SHULE YA SEKONDARI KIBAO 26 Aug 2013 | 09:58 pm
Mbunge Kigola MOTO mkubwa ambao chanzo bado kufahamika meteketeza jengo la utawala katika shule ya Sekondari ya Kibao iliyopo jimbo la Mufindi kusini wilayani Mufindi mkoa wa Iringa Wakizun.....
KUTOKA VIKAO VYA CCM DODOMA: SIXTUS MAPUNDA ACHUKUA MIKOBA YA SHIGELA UVCCM, MANSOUR AOU ZANZIBAR 26 Aug 2013 | 09:54 pm
Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akiongoza kikao cha NEC, mjini Dodoma leo mchana. Kushoto ni Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana. BASHIR NKOROMO, Dodoma HALMASHAURI Kuu ya Chama Cha Mapindu...
MWALIMO WA KUHUDHURIA TAMASHA LA JINSIA NA MAADHIMISHO YA MIAKA 20 YA TGNP 26 Aug 2013 | 09:52 pm
Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE MicrosoftInternetExplorer4 TGNP mtandao ni asasi isiyo ya kiserikali yenye lengo la kupigania haki za kijamii, usawa wa jinsia, kukuza uwezo ...
UTENDAJI HUU WA WAZIRI DR MWAKYEMBE NI UKOMBOZI KWA TAIFA KATIKA VITA DHIDI YA DAWA ZA KULEVYA 26 Aug 2013 | 11:12 am
Na Esther Macha,wa matukiodaima.com Mbeya UTENDAJI wa kazi wa waziri wa uchukuzi ,Dkt.Harrison Mwakyembe umekuwa gumzo katika maeneo mbali mbali nchini huku asilimia kubwa wananchi ikisubiri orodh...
MKURUGENZI WA MABASI YA NDENJELA AWAFUNDA WAUMINI WA DINI KUACHA TAMAA 26 Aug 2013 | 11:03 am
Na Esther Macha,wa matukiodaima.com Mbeya WAUMINI wa madhehebu ya kikiristo Mkoani Mbeya wametakiwa kutokuwa na tamaa ya fedha za mafisadi kwani matokeo ya fedha hizo ni kuwagawa waumini katika...