Blogspot - hassbaby.blogspot.com - Hassbaby (Mapacha)
General Information:
Latest News:
Young Dee - KIJUKUU (Official Music Video) 27 Aug 2013 | 01:54 am
FidoVato - Biz Za Machiz (Official Video & Audio Link) 26 Aug 2013 | 04:41 pm
FidoVato toka Vatoloco the red anadrop full package ya "Biz Za Machiz" ikiwa ni Audio & Video project ilorekodiwa Noizmekah Studio na video pia kufanywa Noizmekah-Hoodpixx VMG chini ya Defxtro, Pata k...
NIKKI MBISHI AJITANGAZA RASMI KUWA MUATHIRIKA WA UKIMWI 25 Aug 2013 | 04:49 pm
Natangaza rasmi leo kuwa mimi (S"n"I) Muathirika wa UKIMWI! — Kibwinda Mwigusi (@NikkiZohan) August 25, 2013
RACHEL AENDA SAWA NA RIHANNA KWENYE VAZI HILI 25 Aug 2013 | 04:40 pm
FOLLOW ME INSTAGRAMÂ @HASSBABYTZ
PROFESA JAY ATOA NENO KWA WASANII 25 Aug 2013 | 04:32 pm
Msanii mkongwe wa Bongo Fleva juzi kupitia acc yake ya Twitter aliandika maneno ambayo ukiyatafakari utagundua kama anawaamsha wasanii ama kuwakumbusha kuwa muziki hautabiriki hivyo wajipange. Hivi n...
LIVE UPDATE : KINACHOENDELEA KILI MUSIC TOUR MBEYA PARTY 2 25 Aug 2013 | 01:39 am
BONYEZA HAPA KUONA PICHA ZA MWANZO Fid Q na Izzo Biznes wakikonga nyoyo za mashabiki Kala Jeremiah Linex, Barnaba na wadau wengine Komando on Stage Sasa ni zamu ya Lady Jay Dee Wakongwe kwen...
Lucci and Jokate - Kaka Dada (Official HD Video) 24 Aug 2013 | 11:13 pm
Live Update : Kinachoendelea Kili Music Tour Mbeya 24 Aug 2013 | 11:00 pm
Show imefunguliwa na msanii Awilo toka Mbeya, akifuatiwa na Snura. Awilo wa Mbeya amefungua burudani Back Stage Fid Q na Izzo Biznes Snura akitoa burudani umati wa wananchi Barnaba akitoa burud.....
HUYU NDIO MSANII WA NJE ALIETAMANI KUFANYA KAZI NA IZZO BIZNES 24 Aug 2013 | 10:59 pm
Kupitia kurasa ya Twitter Msanii kutoka nchi jirani ya Kenya Kaka Sungura a.k.a Rabbit amewasiliana na Izzo Biznes msanii kutoka Tanzania na kusema anatamani aweke bars kwenye mixtape yake.