Blogspot - issamichuzi.blogspot.co.uk - MICHUZI BLOG
General Information:
Latest News:
NEWS ALERT: HALMASHAURI KUU YA CCM YATOA MAAMUZI KWA SAKATA LA MADIWANI WA BUKOBA 27 Aug 2013 | 07:34 pm
Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa imejadili na kutolea maamuzi pamoja na mambo mengine suala la Madiwani wanane waliotangazwa kufukuzwa uanachama na Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa wa Kagera. Katik...
KUMBE HATA KWENYE HIZI,KUSHTUA KUMO....!!! 27 Aug 2013 | 07:32 pm
Hayaaaa..... moja .... mbiliiii ....... tatuuuu......... shtuaaaaaaaa
KIJIWE CHA UGHAIBUNI 27 Aug 2013 | 07:26 pm
Untitled 27 Aug 2013 | 06:56 pm
Katibu Mkuu na Naibu wake wapokewa kwa Shangwe Wizara ya Habari, Vijana Utamaduni na Michezo 27 Aug 2013 | 06:49 pm
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Sihaba Nkinga mwenye nguo nyekundu akipokea zawadi ya maua kutoka kwa mmoja wa wafanyakazi wa Wizara hiyo Bibi Mwanakombo Jumaa katika ha...
Grand Malt yakabidhi vifaa vya michezo kwa timu za Ligi Kuu Zanzibar leo 27 Aug 2013 | 05:42 pm
KINYWAJI kisicho na kilevi cha Grand Malt, walio wadhamini wa Ligi Kuu ya Zanzibar maarufu kama ‘Grand Malt Premier League’ leo wanatarajiwa kukabidhi vifaa kwa timu shiriki hafla itakayofanyika hotel...
UFAFANUZI KUHUSU WAFADHILI KUJITOA KUFADHILI SHUGHULIZA UKIMWI TANZANIA 27 Aug 2013 | 03:50 pm
Kutoka Bungeni Dodoma leo 27 Aug 2013 | 03:43 pm
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Mbinga Magharibi Capt. John Komba, bungeni mjini Dodoma leo. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, ...
Redd’s Miss Tanzania 2013 uso kwa uso na waandishi wa habari 27 Aug 2013 | 03:30 pm
Na Mwandishi Wetu WAREMBO 30 wanaowania taji la Redd’s Miss Tanzania 2013, kesho wanatarajiwa kukutana rasmi na waandishi wa habari, ili kila mmoja kutoa mtazamo wake,shughuli itakavyofanyika katik....
Wanawake jiungeni na SACCOS kunufaika na mikopo - TWB 27 Aug 2013 | 03:19 pm
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Wanawake Tanzania (TWB), Bi. Margareth Chacha akifafanua jambo katika mkutano mkuu wa wanawake Idara ya Takwimu jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Kulia kwake ni M...