Blogspot - issamichuzi.blogspot.com - MICHUZI BLOG

Latest News:

Grand Malt yakabidhi vifaa vya michezo kwa timu za Ligi Kuu Zanzibar leo 27 Aug 2013 | 05:42 pm

KINYWAJI kisicho na kilevi cha Grand Malt, walio wadhamini wa Ligi Kuu ya Zanzibar maarufu kama ‘Grand Malt Premier League’ leo wanatarajiwa kukabidhi vifaa kwa timu shiriki hafla itakayofanyika hotel...

Kutoka Bungeni Dodoma leo 27 Aug 2013 | 03:43 pm

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Mbinga Magharibi Capt. John Komba, bungeni mjini Dodoma leo. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, ...

Redd’s Miss Tanzania 2013 uso kwa uso na waandishi wa habari 27 Aug 2013 | 03:30 pm

 Na Mwandishi Wetu WAREMBO 30 wanaowania taji la Redd’s Miss Tanzania 2013, kesho wanatarajiwa kukutana rasmi na waandishi wa habari, ili kila mmoja kutoa mtazamo wake,shughuli itakavyofanyika katik....

Wanawake jiungeni na SACCOS kunufaika na mikopo - TWB 27 Aug 2013 | 03:19 pm

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Wanawake Tanzania (TWB), Bi. Margareth Chacha akifafanua jambo katika mkutano mkuu wa wanawake Idara ya Takwimu jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Kulia kwake ni M...

Chamwino yazindua ufugaji wa kuku wa kienyeji kujiongezea kipato 27 Aug 2013 | 03:10 pm

Mkuu wa Wilaya ya Chamwino Bi. Fatuma Ally akizungumza machache wakati wa uzinduzi rasmi wa ufugaji wa kuku wa kibiashara kwa Chama kimoja cha ushirika Chenye wanachama wasiopungua mia mbili ambacho t...

Airtel yagawa vitabu kwa shule ya sekondari ya Bwelanyake Karagwe 27 Aug 2013 | 03:01 pm

Afisa mauzo wa kanda ya ziwa Mohamed Kabeke akikabithi vitabu Afisa elimu msaidizi sekondari wilaya ya karagwe bi Siberia Ruboha wakati Airtel ilipotembelea wilaya ya karagwe mkoani bukoba, akishuhudi...

KAMPUNI YA CHLORIDE EXIDE YASAIDIA KITENGO CHA EMERGENCY CHA HOSPITALI YA TAIFA YA MUHIMBILI 27 Aug 2013 | 02:51 pm

Meneja wa Kanda ya Afrika Mashariki wa kampuni ya Chloride Exide Bw,Gabriel Ondoyo (kulia) na  Mratibu wa Masoko wa Kampuni hiyo Bw, Robert Hiza wakikabidhi Betri za kampuni hiyo kwa  Mkuu wa Kitengo ...

Untitled 27 Aug 2013 | 02:48 pm

NATHAN MPANGALA, MARAFIKI WA WAFANYE WATABASAMU WACHORA NA WATOTO HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI 27 Aug 2013 | 02:28 pm

Mmoja wa watoto wanaendelea na matibabu Hospitali ya Taifa Muhimbili, Dar es Salaam, akiwa bize na rangi wakati walipotembelewa na mchora katuni Nathan Mpangala kupitia mradi wake wa kujitolea wa Wafa...

Related Keywords:

michuzi, issa michuzi, michuzi blog, issamichuzi blogspot, issamichuzi, michuziblog.blogspot.com, michuz, michuzi.blogspot.com, michuziblogspot.com

Recently parsed news:

Recent searches: