Blogspot - newstz.blogspot.com - habari moto moto

Latest News:

OXFAM YAIVURGA LOLIONDO 6 Sep 2012 | 01:34 pm

*Yazifadhili asasi kuvuruga amani Loliondo *Yazichotea mamilioni kufanikisha vurugu Shirika la Misaada la Kimataifa la Oxfam limejiingiza kwenye ufadhili wa vikundi na asasi za kiraia, zinazozua na ...

YANGA NA SIMBA WAKABIDHIWA VIFAA NA KILIMANJARO 6 Sep 2012 | 01:23 pm

Ofisa Habari wa Yanga, Louis Sendeu (kushoto) na Makamu Mwenyekiti wa Simba, Geofrey Nyange ‘Kaburu’ (kulia), wakionesha baadhi ya vifaa vya michezo  walivyokabidhiwa na Kampuni ya Bia Tanzania (TBL),...

DK MARY NAGU ANG'OKA NEC HANANG' 6 Sep 2012 | 12:25 pm

MBIO za uchaguzi ndani ya CCM zimefikia patamu, baada ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji na Uwezeshaji) Dk Mary Nagu kuenguliwa kugombea nafasi ya Ujumbe wa Nec kupitia Wilaya ya Hanan...

MAFUTA BEI JUU 6 Sep 2012 | 11:36 am

Mwandishi Wetu MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura) imetangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli nchini ambapo bei ya  petroli, dizeli na mafuta ya taa zimepanda. Kwa muji...

SIRI NZITO ZAANZA KUJITOKEZA KIFO CHA MWANGOSI 6 Sep 2012 | 11:31 am

POLISI WALIOTEKELEZA OPERESHENI WADAIWA KUSAFIRISHWA KUTOKA MIKOA MINGINE, WAANDISHI WA HABARI IRINGA WASUSIA MKUTANO WA DCI MANUMBA INADAIWA kwamba askari waliokuwa katika operesheni ya kuzuia mkuta...

MANUMBA ASUSIWA MKUTANO NA WAANDISHI WA HABARI IRINGA 6 Sep 2012 | 11:29 am

Wanahabari wa Iringa Wakitoka nje ya ofisi Wanahabari wa Iringa mchana wa leo wamegoma kupokea taarifa ya awali ya uchunguzi wa kifo cha Mwandishi Daudi Mwangosi, aliyeuawa juzi jumapili katika mkuta...

CCM yapumulia mashine 22 Jul 2012 | 03:53 pm

•  AJALI YA MV SKAGIT, URAIS 2015 VYAITESA na Mwandishi wetu UPEPO wa mabadiliko ya kisiasa uliozikumba nchi nyingi duniani, unaelekea kukiathiri Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambacho sasa kinahaha...

UTORO WA WABUNGE WAKWAMISHA BAJETI 22 Jul 2012 | 03:22 pm

•  WAPINZANI WANG’ANG’ANIA ISIPITISHWE na Salehe Mohamed, Dodoma UTORO wa wabunge uliokemewa na Spika wa Bunge, Anne Makinda, wiki iliyopita jana ulikwamisha kupitishwa kwa bajeti ya Wizara ya K...

Rais Kikwete Akutana na Kufanya Mazungumzo na Profesa Ntumra Luaba Alphonce, Katibu Mtendaji wa Umoja wa Nchi za Maziwa Makuu wa (International Confer... 5 Jul 2012 | 02:23 am

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amesema kuwa hali ya mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) inatia wasiwasi na hivyo Tanzania inafuatilia kwa ma...

WAZIRI WA USALAMA NA ULINIZI KENYA PROF. GEORGE SAITOTI AFARIKI KWA AJALI YA HELIKOPTER 10 Jun 2012 | 05:49 pm

Waziri wa Usalama wa ndani Profesa George Saitoti na Naibu wake Orwa Ojode wamefariki dunia katika ajali ya helikopta ya polisi iliyotokea leo asubuhi katika eneo la Kibiku, karibu na mji wa Ngong tak...

Recently parsed news:

Recent searches: