Hakingowi - hakingowi.com

General Information:

Latest News:

KUTOKA JESHI LA POLISI TANZANIA:SOMA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI KIDATO CHA NNE NA SITA 2013. 27 Aug 2013 | 06:34 pm

Jeshi la Polisi Tanzania limetoa majina na ratiba ya usahili kwa vijana waliomaliza kidato cha nne mwaka 2012 na waliomaliza kidato cha sita mwaka 2013 ambao wamechaguliwa kufanya usaili kabla ya  kuj...

Photo:Tanzanian Caught With Dhs3 Million Of Drugs in Dubai Blames Husband 27 Aug 2013 | 06:29 pm

Photo of a woman caught with Dhs3 million of drugs.Photo: Yahoo! News -- A cross-post from Yahoo! News — A woman caught with Dhs3 million of drugs in her suitcase claims she was unwittingly being us...

Taswira Mbalimbali KutokaViwanjaVya Bunge Mjini Dodoma Leo 27 Aug 2013 | 06:18 pm

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka  bungeni mjini Dodoma Agosti 27, 2013. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge ....

Taswira Kutoka Chadema Kwenye mkutano wa hadhara wa Mabaraza ya Wazi ya kujadili rasimu ya katiba mpya:Maelfu ya wananchi wa mji wa Iringa Wajitokeza ... 27 Aug 2013 | 06:14 pm

Sehemu ya maelfu ya wananchi wa mji wa Iringa wakishangilia kwa nguvu wakati Mkurugenzi wa Sheria na Haki za Binadamu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na Mbunge wa Singida Mashariki ,.....

Taswira:Ona Jinsi Bar ya Samaki Samaki-Mbezi ikiteketea Kwa Moto Leo 27 Aug 2013 | 05:37 pm

Hii ndiyo Baa ya Samaki Samaki ikiteketea kwa moto leo baada ya kutokea Hitilafu ya Umeme wakati baa hiyo ilipokuwa ikibomolewa leo ili kupisha upanuzi wa barabara hiyo inayoendelea kujengwa, ambapo e...

Taswira:Ona Mapokezi ya Katibu Mkuu na Naibu Katibu Mkuu Wapya Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo leo jijini Dar es Salaam. 27 Aug 2013 | 05:27 pm

Katibu Mkuu mpya wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bi. Sihaba Nkinga akiwasili mbele ya jengo la PPF huku akipokelewa kwa shangwe na wafanyakazi wa Wizara hiyo leo jijini Dar es Salaam...

Taswira na Habari:Chadema yaanza kumliza Mbunge wa Kondoa Kusini, Juma Nkamia (CCM), yashinda uchaguzi jimboni kwake 27 Aug 2013 | 05:16 pm

 Ofisi ya Chadema Wilaya ya Dodoma Mjini Kaimu Katibu wa Chadema Wilaya ya Dodoma Mjini, Jella Kheri Mambo, akiwa Ofisini kwake. --- Na Bryceson Mathias, Kondoa KATIKA hali inayoonesha ni kumliza....

Taswira Kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa:Baraza la Katiba la Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa lazinduliwa r... 27 Aug 2013 | 05:10 pm

 Bw. Haule, Katibu Mkuu wa Wizara ya Mmbo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa akiwakaribisha Wajumbe kwenye ufunguzi huo. Mgeni Rasmi na Mjumbe wa Tume ya Mambadiliko ya Katiba, Mhe. Dkt. Salim Ahmed....

Kipanya LEO 27 Aug 2013 | 04:57 pm

Taswira na Habari Mbalimbali Kutoka Ofisi ya Kamanda wa polisi kanda Maalum ya Dar es Salaam Suleiman Kova:Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar Yafanik... 27 Aug 2013 | 04:53 pm

 Kamanda wa polisi kanda Maalum ya Dar es salaam Suleiman kova akionesha bastola 2 walizozikamata pamoja na kusema wamefanikiwa kuwakamata jumla ya majambazi 180 ndani ya muda wa wiki moja. Kamanda K...

Recently parsed news:

Recent searches: